Vitenge vya wax namba 1.
Material yake ni mazuri sana hayachuji Wala hayapauki na sio ya mtelezo.
Bei yake ni 25000/= .
Zipo Bei za reja reja na jumla pia zipo.
Rangi zipo aina zote na maua tofaut tofaut.
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie:0624900333.
Karibun sana mjipatie vitenge vya wax namba 1 kwa Bei nafuu sana.