Vitenge vya wax namba 1 .
Material yake ni mazuri sana sio ya mtelezo.
Bei yake ni 25000.
Zipo aina zote za rangi na maua tofaut tofaut.
Bei zipo za reja reja na jumla pia zipo.
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana mjipatie vitenge vya wax namba 1.