Vitenge vya wax namba 1.
Bei yake ni 25000/= .
Material yake ni mazuri sana hayachuji Wala hayapauki na sio ya mtelezo.
Zipo aina zote za rangiĀ na maua tofaut tofaut.
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana mjipatie vitenge vya wax namba 1.