Vitenge vya wax namba 1.
Bei yake ni 25000.
Zipo Bei za reja reja na jumla pia zipo.
Rangi zipo aina zote na maua tofaut tofaut.
Material yake ni mazuri sana hayachuji Wala hayapauki na sio ya mtelezo.
Vitenge vipo vitatu.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana mjipatie vitenge vya wax namba 1 kwa Bei nafuu kabsa.