Karibun viatu vya ngozi vya kiume.
Ni viatu vzur sana na imara sana.
Bei yake ni 20000/= .
Zipo size tofaut tofaut na maua tofaut tofaut.
Rangi pia zipo aina zote.
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana.