Karibun viatu vya kike vya kimasai.
Ni viatu vzur sana na imara sana
Size 30 mpk 41.
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana mjipatie viatu Bora na imara sana.