Viatu vya kike vya ngozi
Ni original na ni imara sana
Sio rahis kukati
Zipo Bei tofaut tofaut za reja reja na jumla
Bei ni kuanzia 15000/=
Vipo aina tofaut tofaut za viatu rangi pamoja ni mitindi .
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana mjipatie viatu Bora na imara.