Nguo za watoto wa kiume na wa kike .
Ni nguo nzur sana na Bora sana
Nguo hizi Kuna sweta , suruali pmj na sheti nyingine ya ndani.
Unaweza kuvaa sehemu tofaut tofaut zenye barid na ambazo sio za barid sana .
Bei yake ni 50000/=
Karibun sana