Karibun skirt za kisasa.
Bei yake ni 3000/= .
Ni free size.
Material yake ni mazuri sana.
Zipo Bei za reja reja na jumla pia zipo.
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana