Karibun mitandio.
Material yake ni mazuri sana hayachuji Wala hayapauki.
Bei yake ni 8000/= .
Zipo aina zote za rangi na maua tofaut tofaut.
Bei zipo za reja reja na jumla pia zipo.
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana.