Karibun mitandio ya mpira .
Ni mizuri sana .
Bei yake ni 7000 .
Zipo aina zote za rangi na maua tofaut tofaut.
Bei zipo za reja reja na jumla pia zipo.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia:0624900333.
Karibun sana