Meza za ofisini .
Ni nzuri sana na material yake ni imara sana .
Bei yake ni 1450000/=
Zipo mitindo tofaut tofaut na rangi zipo tofauti tofauti.
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Tunauza jumla na reja reja
Kwa mawasiliano Zaid:0624900333.
Karibun sana.