Private
2 months ago
24 Views

Mashuka

Clothing & Fashion
TSh27,000

Karibun sana mashuka mawili foronya 4.

Ni pure cotton hazichuji wala kupauka.

Bei yake ni 27000/= .

Ukubwa ni 9/10.

Zipo Bei za reja reja na jumla pia.

Rangi zipo aina zote na maua tofaut tofaut.

Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.

Write a Review

Post as Guest
Your opinion matters
Add Photos
Minimum characters: 10
© 2025 B.R Buy and Sell | All Rights Reserved.