Kabati kwa ajili ya ofisini .
Kabati ni nzuri sana kwa matumizi ya kuweka documents.
Bei yake ni 500000/=
Ni nzuri sana na imara sana.
Material yake ni imara pia .
Bei zipo za jumla na reja reja pia .
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana.