Meza za ofisini .
Ni meza nzuri sana na imara.
Bei yake ni 750000/=
Zipo Bei za reja reja na jumla pia zipo.
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Zipo mitindo tofaut tofaut na rangi tofaut tofaut.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana.