Gauni fupi za jeans .
Ni free size.
Bei yake ni 40000/= .
Yapo magauni ya mitindo tofaut tofaut na maua tofaut tofaut.
Bei zipo za reja reja na jumla pia zipo.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana.