Karibun viatu vya kike vya ngozi.
Viatu ni vzuri sana na imara sana
Size zipo tofauti tofauti na rangi pia zipo aina zote.
Maua ya viatu yapo kila aina unayotaka .
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.
Karibun sana mjipatie viatu Bora na imara.