Karibun viatu vya kike vya ngozi
Ni viatu vzur sana na Bei yake ni nzur pia
Bei ni 20000/=
Zipo size kuanzia 29 mpka 41
Zipo Bei za reja reja na jumla pia
Tunapokea oda za wateja wa mikoan Ila gharama za usafiri ni juu yako mteja.
Kwa mawasiliano Zaid tupigie kupitia namba:0624900333.