📱 Bluetooth speaker ndogo, sauti kali, bassy nzuri na inabebeka kirahisi.
🎁 Imetoka Marekani kama zawadi, imetumiwa kidogo sana — ikiwa kama mpya kabisa.
✔️ Waterproof
✔️ Betri inashika muda mrefu
✔️ Inafanya pairing na simu/tablet/PC kwa urahisi
💰 Bei: TSh 180,000 (au best offer)
📍 Dar es Salaam
📞 Weka WhatsApp / Simu: **_____
Unaweza kuuona (try) kabla ya kununua.
📸 Picha halisi chini👇