VIWANJA VIMEPIMWA VINA BARA BARA MAJI YAPO UMEME UPO KARIBU SANA KUNA HUDUMA ZOTE KAMA VILE VIWANJA KWAAJILI YA MAKAZI MAKAZI NA BIASHARA VIWANDA VIDOGO VIDOGO , MAENEO YA IBADA SHULE ZA AWALI ZAHANATI PETRO STATION MAENEO YA MASOKA YA KISASA YAANI SUPER MARKET NA MAENEO YA KUCHEZA WATOTO NA HOTEL ZA KISASA KARIBU TUKUHUDUMIE KIWANJA KINAANZA 20×25 YAANI SQM 500 NA UNAPATA HATI YA KUTOKA WIZARA YA ARIDHI KWA 4000,000 TU MILIKI KIWANJA CHENYE HATI
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal