Gari aina ya Toyota premio inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport rims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara.
Make Toyota
Model Premio
Year 2008
Doors
Seats
Engine size (cc) cc 1400
Number 0f Airbags 2
Fuel Petrol
Color Bronzee
Warranty: No
New: No
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka www.brbuyandsell.co.tz. Kwa mawasiliano zaidi: +255624 000 333
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal