Gari aina ya TOYOTA noah inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport rims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara.
Make Toyota
Model noah
Year 2000
Doors
Seats
Engine size (cc) cc 650
Number 0f Airbags 2
Fuel Petrol
Color white
Warranty: No
New: No
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka www.brbuyandsell.co.tz. Kwa mawasiliano zaidi: +255624 000 333
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal