Gari aina ya Toyota Liteace Truck inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara.
Make Toyota
Model Liteace truck
Year 2003
Doors 2
Seats 2
Engine size (cc) 1790
Number 0f Airbags 2
Fuel diesel
Color white
Warranty: No
New: No
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi: piga 0624 000 333
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal