Gari aina ya Toyato hilux inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa fanilia au biashara.
Toyota | |
hilux | |
2009 | |
4 | |
8 | |
white | |
No | |
No |
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi: Josephine 0624 000 333
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal