Sifa za Nyumba
- Ina Vyumba 4, Chumba 1 kina Choo ndani.
- Ina Sebule,Jiko,Sehemu ya kulia chakula.
- Ina Vyoo 2,Stoo 2 na Choo cha Pamoja.
- Ina Maji,Umeme,sehemu ya kuegesha magari.
- Ina fremu 1 kwa nje,
- Ina chumba 1 nje ya Nyumba kubwa.
- Nyumba ipo ndani ya fensi.
- Ina document zote.
ID: Athumani
Kwa maelezo zaidi tupigie +255 719 053 466 au tembelea tovuti yetu https://brbuyandsell.co.tz
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal