Hii ni nyumba ya kisasa iliyopo Mbweni,Malindi Estate (Kinondoni municipal,Dar es salaam)
Ina vitu vifuatavyo
1.vyumba vya kulala -2
2.dining ya mduara
3.sebule-1
4.jiko-1
5.Parking
6.Imeshawekewa tiles tayari(tiled house)
7.Umeme ushawekwa(Electric installation done )
Pia nyumba ipo kwenye kiwanja au plot no 336 kilichopo Mbweni ,malindi Estate chenye ukubwa wa square metre 486
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal