Nyumba Inauzwa Mbezi
Sifa za Nyumba
- Vyumba 3 vya kulala,chumba 1 kina choo ndani
- Sebule,jiko,sehemu ya Kulia,
- Eneo la kuegeshea magari,
- Nyumba ina fence
- Ukubwa ni Mita za mraba 1030
- Bei ni TSH350,000,000/=
- ID:Safari
- Kwa maelezo zaid tupigie +255 624 000 333 au tembelea tovuti yetu www.brbuyandsell.co.tz
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal