Nyumba ipo Kisemvule jiji la Dar es Salaam
Nyumba nzuri sana
Ina vyumba vinne vya kulala vyumba vyote ni master bedrooms
Ina sitting room, Jiko na store
Ina public toilet
Ina umeme na maji
Ina fensi ya umeme
Ina CCTV camera
Ina document zote za mauziano
Ina AC
Kutoka barabara kuu ya rami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 1 tu
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal