MAELEZO
- Nyumba inauzwa million 170
- Nyumba ina kisima cha maji na Tank
- Apartiment ndani ya nyumba ipo,ina vyumba viwili na choo cha pamoja
- ina maua mazuri na GARDEN YA KISASA
- Ina madirisha ya vioo na tailes safi
- ina vyumba 4 vya kulalaina umeme na maji salama
- ina eneo la kuegeshea magari
- ukubwa wa eneo ni mita za mraba 900
- eneo limepimwa
- eneo lina hati miliki
- ID:Safari
- Kwa Maelezo Zaidi tupigie +255 624 000 333 au Tembelea Tovuti yetu https://brbuyandsell.co.tz
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal