Nyumba inapangishwa mbezi JUU karibu na Masana hospitali (barabarani kabisa) inavyumba 4 vya kulala vyumba 3 Ni master,jiko,sebule,dinning,publick toilet. Inafence,na parking ya gari 3/4 Inafaa pia kwa matumizi ya kibiashara Kama office n.k
Contact 0715053339/0719236829
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal