NAFASI ZA KAZI (10)
BR REAL ESTATE LTD, wanatafuta wasichana 10 watakaoweza kufanya kazi za
masoko za kuuza viwanja mkoani ARUSHA, wenye weledi mkubwa wa mambo
ya masoko ili kufanikisha malengo ya kampuni.
SIFA ZA MWOMBAJI
– Awe na elimu ngazi ya CERTIFICATE au DIPLOMA
– Awe na umri kati ya miaka 22 – 25
– Awe na uwezo wa kujieleza na mwenye mbinu za utafutaji wa masoko
– Mbunifu na mchapakazi, mwenye kupangilia kazi zake na asiyependa
kusukumwa katika kufanya kazi
– Awe tayari kufanya kazi mkoani ARUSHA
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote ya kazi yafikishwe ARUSHA – KALOLENI, SAID KONDO
HOTEL GHOROFA YA PILI CHUMBA NAMBA 211
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu: www.brrealestate.co.tz au
Piga simu na: 0624 000 333
Tangazo hili limetolewa tarehe 16/03/202
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal