Gari aina ya Land Rover Discovery 4 inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport rims,Aux/Dvd player ,Small Fridge . Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara.
ID Dotto Mushi
Make Land Rover
Model Discovery 4
Year 2011
Doors 5
Seats 8
Engine size (cc) 3.0
Number 0f Airbags 2
Fuel Diesel
Mileage:
Color Black metallic
Warranty: No
New: No
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi: tupigie +255 624 000 333 au tembelea tovuti yetu https://brbuyandsell.co.tz.
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal