- Kiwanja kipo katika eneo lililokuwa mradi wa iliyokuwa PSPF zamani, eneo la CHANIKA- BUYUNI- KIGEZI, ni Plot No 192, Block 14, CHANIKA – BUYUNI, ILALA DISTRICT.
- Kina ukubwa wa Square Metre 1405, Kimezungushiwa ukuta, na ukuta wa mbele una ventilation structures ( matoleo ya hewa)
- Ndani ya eneo hili kuna nyumba tatu zilizo katika mitindo tofauti.
- Nyumba mbili za pembeni vyumba vyake vyote ni self contain, ya katikati ina vyumba vitatu sio self contain.
- Kila nyumba ina sitting room, zinatofautiana ukubwa, kuna iliyo kubwa na ina public toilet, kuna nyingine mbili zenye ukubwa tofauti.
- Nyumba kubwa ina nafasi kubwa zaidi kwa vyumba na bath tab ya kisasa.
- Maji na umeme wa TANESCO vyote vipo.
- Taa za ukutani kwenye ukuta wa fence na kila verandah zipo.Majiko mawili ya kisasa , miti ya matunda mbalimbali kama machungwa,mapera,maembe, mastafeli, mapapai na mananasi mengi sana. Gardern ya majani maua na miti ya kivuli ipo.
- Hii site ipo umbali wa kilometa tatu na nusu toka kwenye barabara kuu inayotoka Pugu kuelekea Chanika.
- Ni eneo tulivu kwa jinsi lilivyopimwa na majirani waliopo.
- Kwa ujumla vyumba vya kulala self contain vipo vitano, ambavyo sio self vipo vitatu, public toilet moja, sitting room tatu na open verandah tano, tank la maji liko katila mnara mrefu kwa hiyo maji hushuka kwa presha kubwa sana.
- Bado kuna eneo kubwa la wazi ndani na nje ya fence kwa kuwa square metre 1405 ni eneo kubwa na tulivu.
- Barabara zimepangika vizuri sana
- Panaweza kutumika kwa namna nyingi, kuishi,hotel,Bar,Guest house,office,kupanga, tourist etc.
- Sehemu kubwa ya kupaki magari ndani na nje ya fence
- Bei ni Tshs 300,000,000/=
ID:eddy
For more details contact us +255 623 000 333 or visit our website https://brbuyandsell.co.tz
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal