Nyumba inauzwa ipo Goba centa kutoka hapo Goba centa hadi kwenye nyumba Kilomita1 nyumba ina room 3 zote ni master, jiko, pia sebule ya kutosha ukubwa wa kiwanja sqmtr1400 pame pimwa hati bado bei milioni 320 maongezi yapo
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal