NYUMBA YA GHOROFA MOJA INAUZWA BUNJU (A) BEACH INA VYUMBA VINNE UKUMBI SEHEMU YA KULIA CHAKULA ENEO LINA UKUBWA WA FUTI ZA MRABA 1600 LINA HATI MILIKI KUTOKA WIZARANI NYUMBA NI YA KISASA KUNA NYUMBA YA NJE NZURI SANA MAJI YAPO UMEME UZIO WA UKUTA NI HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO IKIWEPO ULINZI HOSPTAL KANISA MSIKITI NA VINGINE KARIBU SASA UISHI BEACH
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal