Shamba linauzwa lipo Kilomita 16 kaskazini mwa Tanga. Linaukubwa wa Hekari 97.5. Ardhi yake ni yenye rutuba na inafaa kwa kilimo .Ndani ya shamba kuna miti ya matunda ,nyumba kwa ajili ya watu wa shamba, mabanda ya kuku,zizi la mbuzi,mantenki ya maji,umeme wa jua na genereta.
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal