Gari aina ya Crown manjesta inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara.
Make crown
Model manjesta
Year 2004
Doors 4
Seats 8
Engine size (cc) 4300
Number 0f Airbags 2
Fuel
Color silver
Warranty: No
New: No
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi: Josephine 0624 000 333
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal