Ni sabuni iliyotengenezwa kupitia vitu vitatu( 3)
(1)asali ya nyuki wadogo
(2)mchaichai
(3)zabibu
FAIDA ZA SABUNI HII
→inaondoa chunus,madoa na harara kwenye Ngozi
→inaondoa mba
→utangatanga na miwasho
→inaifanya ngozi kua safi mda wote
→ni nzuri sana kwa jinsia zote
→inasaidia ngozi inayotoa mafuta
→ni nzuri sana kwa watoto.
→inaondoa mapunye kwa watoto na wakubwa pia
→ inakawia kuisha mana ningumu sana.it’s well compacted)
→Inaondoa fangas na harufu mbaya sehem za kwapa na ngozi kwa ujumla.
Inalinda bactreia za kwenye ngozi(skin bacteria) inachangia uwepo wa unyevu wa asili wa ngozi yako (Skin Elasyisity
Nisabuni ya asili kabisa haina chemicals aina yeyote
Inapatikana
Mention brbuyandsell.co.tz when calling seller to get a good deal